Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Kilichoangaziwa

DALILI ZA KUKOSA NGUVU ZA KIUME

  UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa. Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara...

Machapisho Mapya Zaidi

Dalili za tumbo kujaa gas

NAMNA YA KUFANYA SAVE TO SAVE WHATSAPP

Welcome