NAMNA YA KUFANYA SAVE TO SAVE WHATSAPP
Habari zifuatazo ni njia rahisi za KUFANYA save to save Whatsapp
Nini maana ya save to save:Ni njia ya kuunganisha au kushare namba yako na watu tofauti tofauti katika Whatsapp Kwa kupitia magroup ambapo utaweza kuwa na FAIDA kama kuwa na idadi kubwa ya views na comments
1.Hakikisha una magroup ya watu tofauti tofauti katika Whatsapp account Yako
2.hakikisha kwakila siku group unagusa sehemu iliyoandikwa group info
3.Andaa aina ya UJUMBE ambao utamfanya unaemtafta akusave
4.uwe creative Ili kuhakikisha kuwa Kila utakayemtafta atakubaliana na wewe
SAVE TO SAVE WHATSAPP ITAKUSAIDIA KUPATA WATEJA WENGI KAMA UNAFANYA NETWORK MARKETING'S
Maoni
Chapisha Maoni